Habari mpya

Nick wa Pili "Bora nibaki na Yanga, Manchester stress tupu kiwango hamna"



Kauli hii imekuja baada ya matokeo ya mechi ya leo kati ya Manchester United na Southampton ambapo mchezo ulimalizika kwa Manchester kuchezea kichapo cha bao 3 kwa 2.
Mwenendo wa Man u kwa kipindi hiki umekuwa wa kusua sua sana na kuwachanganya sana mashabiki wake na hasa wale kutoka hapa Tz ambao pia ni mashabiki wa timu ya wekundu wa Msimbazi "Simba SC" ambayo nayo matokeo yake ya michezo mbalimbali yamekuwa mabovu kadri siku zinavozidi kwenda.

No comments