ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA STASHAHADA NA CHETI MWAKA 2012/2013

WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI
ORODHA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA CHETI MWAKA WA MASOMO 2012/2013
MAELEKEZO MUHIMU
Waombaji waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya ualimu katika mwaka wa masomo 2012/13 wanatakiwa kuripoti katika vyuo walivyopangiwa tarehe 12/08/2012. Kwa wale watakaochelewa kupata barua za maelekezo (Joining instruction) kutoka vyuoni wanatakiwa waripoti vyuoni katika tarehe iliyopangwa bila kukosa. Wanafunzi wanatakiwa kufika vyuoni wakiwa na mahitaji yafuatayo:

1.Vyeti halisi vya Baraza la Mitihani la Tanzania Kidato cha NNE na SITA kulingana na kozi husika.
2. Ada kwa mwaka ni shilingi 200,000/=. (Muhula wa kwanza shilingi 100,000/= na muhula wa pili shilingi 100,000/=). 3.Sare ya Chuo kulingana na maelekezo ya chuo husika .
4. Fedha za matumizi binafsi.

KUONA MAJINA BILA KUDOWNLOAD BONYEZA SEHEMU HUSIKA HAPO CHINI

  • BONYEZA HAPA KWA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NGAZI YA STASHAHADA

  • BONYEZA HAPA KWA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NGAZI YA CHETI

  • KUDOWNLOAD BONYEZA SEHEMU HUSIKA HAPO CHINI

  • BONYEZA HAPA KUPATA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NGAZI YA STASHAHADA

  • BONYEZA HAPA KUPATA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NGAZI YA CHETI
  • Aidha, kila Mkuu wa Chuo anatakiwa kuhakikisha wanafunzi wanaosajiliwa chuoni ni wale waliopo kwenye orodha hii tu na SI vinginevyo.

    Post Comment