New release: Ali Kiba - Aje (Cooming soon)
Kama ni mfuatiliaji mzuri wa mitandao mbalimbali basi utakuwa ushakutana sana na hashtag ya AJE (#Aje). Kwa taarifa zilizopo basi hii ni ngoma mpya kutoka kwa King Kiba ambayo hivi karibuni itakuwa hewani. Ali Kiba kwa sasa yuko chini ya rekodi ya Rockstar ambayo pia inasimamia kazi za Komando Jide (Lady Jaydee).
Pia siku chache zilizopita mtandao maarufu wa burudani MTV uliweka picha ya Ali Kiba na kuandika Coming soon.
No comments