Habari mpya

"Mimi si mnyama wa maonyesho" - Justin Beiber


Kauli hii ya Beiber imekuja baada ya kuona amekuwa aking'ang'aniwa sana na mashabiki zake kupiga nae picha pindi anapokuwa mitaani na sehemu za matamasha mbalimbali. Suala hilo inaonyesha kwa sasa limekuwa likimkera sana kiasi cha kuonyesha waziwazi kupitia ukurasa wake wa Instagram na kuwataka mashabiki wake wasimuombe tena kupiga nae picha, kitu ambacho wengi wamekasirishwa nacho na kusema kuwa yeye ni celeb hawezi kataa pupularity.

No comments