SAA 3.45 USIKU HUU MABINGWA ULAYA "KUUMANA". CHAMPIONS LEAGUE IS BACK
Michuano ya ligi ya mabingwa ulaya inaendelea tena usiku huu kwa michezo miwili kati ya Barcelona vs Atletico Madrid na Bayern Munich vs Benfica.
Barcelona ambayo mwishoni mwa wiki iliyopita ilifungwa magoli 2 - 1 na wapinzani wao Real Madrid katika muendelezo wa ligi kuu ya Hispania wanatarajia kukutana na upinzani mkubwa kutoka kwa mafundi kama Antoine Griezman na Koke wa Atletico Madrid.
Kwa upande mwingine bonge la mechi itakua baina ya Bayern Munich ya Ujerumani na time zoefu sio ya kubeza ya Benfica ya Ureno.

No comments