Habari mpya

Hii ndio rekodi ya Yanga na Al-Ahly tangu walipoanza kukutana miaka ya 80.

Wamewahi kukutana mara misimu minne huku Al-Ahly ikiwa imeshinda mara tano jumla ya magoli 15 na manne zaidi walipopigiana matuta katika ya mechi nane na Yanga ikishinda mara moja jumla ya magoli 2 na matatu zaidi walipopigiana penati baada ya kutoshana nguvu. Jumla ya sare ni mbili tu.


Ligi ya Mabingwa Afrika; 1982
>>>RAUNDI YA PILI:
Al- Ahly 5-0 Yanga (Misri)
Yanga SC 1-1 Al- Ahly (Dar)

Ligi ya Mabingwa; 1988
>>>RAUNDI YA KWANZA:
Yanga 0-0 Al-Ahly (Dar)
Al- Ahly 4-0 Yanga (Misri)


Ligi ya Mabingwa; 2009
>>>RAUNDI YA KWANZA
Al Ahly 3-0 Yanga (Misri)
Yanga 0-1 Al Ahly (Dar)


Ligi ya Mabingwa; 2014
>>>RAUNDI YA KWANZA
Yanga SC 1-0 Al Ahly (Dar)
Al Ahly 1-0 Yanga SC (Misri)
(Yanga ilitolewa kwa penalti 4-3)

No comments