Habari mpya

JAY Z AZINGULIWA NA WAMAREKANI WEUSI WAKIDAI NI MSALITI WA WEUSI

Wamarekani weusi wamemshambulia Jay Z na kumuita mnafiki baada ya picha ya wafanyakazi wa kampuni yake ya Tidal yenye makao yake makuu nchini Norway kuonekana mtandaoni.
Tatizo la picha hiyo ni kuwa wafanyakazi wote ni wazungu licha ya hivi karibuni kuwashambulia wamarekani weusi kuwa hawaiungi mkono kampuni yake kama wafanyavyo kwa Apple, Nike na Google.Matokeo yake kibao kimemgeukia kwa kauli kama:
“Jay tried to guilt trip us … but his staff are all white”– “
Jay does a ‘Pro-Black’ freestyle but then releases a picture of#Tidal’s all White staff.”– “Those who complain of no blacks in white owned institutions.
Well hereu go Jay Z OWNS TIDAL. U going to protest?”-“Jay ain’t hiring u n***as”
Hata hivyo Jay Z anaweza kuwa anaonewa tu kwakuwa ofisi za Tidal zipo Norway ambako watu weusi wanaweza kuwa karibu asilimia 2 tu.

No comments