Habari mpya

STERLING ATOBOA BILA JURGEN KLOPP HABAKI LIVERPOOL MOJA YA SHARTI LITAKALO MFANYA ABAKI ANFIELD



Raheem Sterling amabe hivi sasa bado hasomeki kama msimu ujao atacheza wapi, tetesi zimeripotiwa kwamba ana masharti yake kama anatakiwa kubaki kucheza Liverpool.

Gazeti la The Sun on Sunday limeripoti kwamba Sterling ambae mkataba wake ndani ya Anfield utisha msimu ujao amesema kwamba kitu pekee kitakachomfanya kubakia ndani ya Anfield ni kuja kwa kocha Jurgen Klopp.

Kocha Klopp anahusishwana sana na kukalia vitu vya ukocha wa timu mbalimbali barani ulaya baada ya kutangaza kwamba ataondoka Borussia Dortmund.

Zilitoka habari kwamba Raheem Sterling amekataa kusaini mkataba wa pound laki moja kwa wiki na amehusishwa sana kuhamia Chelsea, Arsenal na Manchester City.

No comments