TRAILER YA MOVIE YA "THE VANISHING ACT" INAYOONYESHA MKASA WA KUPOTEA KWA NDEGE YA MALAYSIA MH370
Ni miezi kadhaa sasa imepita bila kuwa na matumaini ya kupata japo chembe ya ndege ya Malaysia MH370 ambayo iligharimu uhai wa zaidi ya watu 200. Sasa kama kawaida ya Hollywood huwa hawachezi mbali na matukiao makubwa na kihistoria kama hayo, wanakuja na movie ya "The Vanishing Act" inayoelezea tangu mwanzo hadi mwisho wa mkasa. Movie hiyo imeongozwa na Rupesh Paul kutoka Crannes.
Waweza icheki video hii fupi inayoonyesha sehemu muhimu za mkasa huo.
No comments