Habari mpya

TAARIFA MUHIMU KUTOKA JKT MAKAO MAKUU KWA VIJANA WALIOHITIMU KIDATO CHA SITA NA KUCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT)


ORODHA YA VIJANA KIDATO CHA SITA WANAOKWENDA JKT MUJIBU WA SHERIA AWAMU YA KWANZA IMEFANYIWA MAREKEBISHO KAMA IFUATAVYO:-
  • VIJANA 1200 WAMEONDOLEWA KUTOKA KIKOSI CHA RUVU NA KUPELEKWA VIKOSI VYA MAKUTUPORA, MAFINGA NA WACHACHE VIKOSI VINGINE.
  • MAREKEBISHO MACHACHE PIA YAMEFANYIKA KATIKA VIKOSI MBALIMBALI.
  • KUTOKANA NA MAREKEBISHO HAYO VIJANA WANASISITIZWA KUHAKIKI TENA MAJINA YAO KATIKA ORODHA MPYA ILIYOPO KWENYE TOVUTI HII.
NB: VIJANA WOTE AMBAO HAWAJAPANGWA AWAMU YA KWANZA, WAMEPANGIWA AWAMU YA PILI NA ORODHA YAO ITAWEKWA KWENYE TOVUTI HII MUDA WOWOTE KUANZIA SASA.
BOFYA HAPO CHINI KUPATA ORODHA MPYA

IMETOLEWA NA MAKAO MAKUU YA JKT

No comments