HISTORIA CONCERT YA LADY JAYDEE YAZIDI KUPAMBA MOTO HUKU WATU WAKIZIDI KUJINYAKULIA TICKET KUPITIA UKURASA WAKE WA FACEBOOK
Siku ya leo ilikuwa ni nzuri kwa watu hawa kumi na tano kwa kujinyakulia ticket ya kuhudhuria HISTORIA CONCERT. Hichi ndicho alichokiandika Jide.
Washindi wa swali la: Wimbo NASIMAMA umerekodiwa studio gani? wamepatikana.. JIBU: Sharobaro Records na Producer ni Bob Junior....
Majina yafuatayo mnaweza kuni inbox namba zenu za simu ili mpatiwe utaratibu wa jinsi ya kupata kadi zenu za mwaliko:
2. TIMOTHEO T ZINGU
3. BEIB JASMINE
4. SABATO NGUITO MWITA
5. INNOH GRANT
6. BENJAMIN CHOKELA
7. SARMY CLEVER
8. LIBERATE ARBOGAST
9. ABDALAH JUMA
10. K RAMSI WA MALULA
11. SAMEST PRINCE BEIBY
12. NELSON FRANK
13. ONEZMO NOTIKEL MIA THERATHINI
14. THEOPHIL ROMWARD
15. BLAC JIZZLE
Pia amewapa moyo wote ambao hawakufanikiwa kujinyakulia ticket hizo kuwa wasikate tamaa kwani nao watapata siku nyingine.
Ambao hamkubahatika leo msijali, kesho kuna swali lingine linakuja.. Swala la kushinda haijalishi ni mwanaume wala mwanamke,,,, wanaopatia kujibu ndio wanaopatiwa tickets.
Kama watapatia wanaume wote basi watapewa wanaume zote, Kama watapatia wanawake basi watapewa pia.. Haijalishi jinsia na hakuna upendeleao. Siku njema muwe na amani.
No comments