DIAMOND PLATINUMZ AZIDI KUNG'ARA KWENYE TUZO ZA KILI MUSIC AWARDS, AWA NOMINATED KWENYE CATEGORY 7 ANGALIA JINSI YA KUMPIGIA KURA
I believe your votes are what made me part of the nominations.... Truly appreciate that... Now just like how we got in da nominations, lets make it to the Awards aswell... Counting on your votes... and I strongly believe we will make it....
(Naamini kura zenu ndio zimefanikisha mimi kuteuliwa katika categories hizi... kiukweli nawashkuru sana, sana na pia niwaombeni tena tafadhari mnipigie kura katika kila category ili niweze kufanikisha kutwaa tunzo hizi...Naamini kwa pamoja tunaweza...)
No comments