USIOMBE LIKUKUTE HILI!
Katika maisha kuna mambo mengi kwenye ndoa!!
Upo kazini, na ulikuwa busy sana na ulichoka sana ukaaumu kumpigia mke wako simu Nakumtaarifu kwamba leo jioni ungetamani akupashie maji angalau yawe vuguvugu.
Na yeye hakusita kukutania nakukuambia na hata leo nitakuogesha
Uliposikia maneno yale yalikufariji sana na kuamua kumpiga busu kwenye simu naye akaitikia asante.
Baada ya muda wa saa moja kupita unaamua kurejea nyumbani.
Wakati upo njiani unamwona mtu kama mke wako na unapochunguza zaidi unagundua kuwa ni mke wako na yupo na kiserengeti boy(mvulana) flani na wanaingia gesti(nyumba ya kulala wageni)
Na unaamua kumpigia simu lakini anachelewa kupokea na baada ya dakika kama kumi hivi inaingia sms(meseji) kutoka kwa mke wako ikiwa imeandikwa "simu ilikuwa chaji na haina vocha nitumie vocha, na leo siunajua tena nakuandalia maji ya uvuguvugu ya kukuogesha".
MAMBO MAKUU MATATU KATIKA UPENDO:
POLE KWA MWENZIO
SHUKRANI KWA MWENZIO
MSAMAHA KWA MWENZIO
JE, UNGEFANYAJE?

No comments