Warembo wa castle lite wakiwa tayari kuwapokea wateja katika Bar ya La Chaz Sinza Mori ambapo burudani mbali mbali ziliendelea. ‘Castle Lite Unlocks’ ambayo lengo lake ni kuhamasisha wateja wake wa bia chapa Castle Lite kuifurahia zaidi na pia kuwaleta pamoja katika tamasha kubwa litalofanyika mwezi wa Julai mwaka huu.
Mc akifurahi jambo na mteja aliyefika La Chaz Bar mara baada ya kujipatia Castle lite
Mc akisoma Kuponi ya zawadi ya mteja aliyoshinda katika Bar ya La Chaz Sinza Mori katika kampeni ‘Castle Lite Unlocks’ ambayo lengo lake ni kuhamasisha wateja wake wa bia chapa Castle Lite kuifurahia zaidi na pia kuwaleta pamoja katika tamasha kubwa litalofanyika mwezi wa Julai mwaka h
Burudani ya Muziki ukiendelea katika Bar ya La Chaz Sinza Mori mapema wiki hii katika kampeni ya Castle Lite Unlocks’ ambayo lengo lake ni kuhamasisha wateja wake wa bia chapa Castle Lite kuifurahia zaidi na pia kuwaleta pamoja katika tamasha kubwa litalofanyika mwezi wa Julai mwaka h
Burudani za Castle Lite Unlocks zahamia La Chaz Bar Sinza Mori
Reviewed by EDITOR
on
11:38 AM
Rating: 5
No comments