Burudani za Castle Lite Unlocks zafana Stanza Bar_Goba
MC akimvisha mteja Kofia mara baada ya kushinda zawadi ambapo burudani za Castle Lite Unlocks zilikuwa zikiendelea katika Bar ya Stanza Goba.kampeni ‘Castle Lite Unlocks’ ambayo lengo lake ni kuhamasisha wateja wake wa bia chapa Castle Lite kuifurahia zaidi na pia kuwaleta pamoja katika tamasha kubwa litalofanyika mwezi wa Julai mwaka huu. . |
No comments