Taarifa ya bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu (HESLB) kwa wadaiwa
Taarifa hii ilitolewa baada ya ile ya siku sitini zilizotolewa na bodi iliyowataka wanufaika hao wa mkopo kutoka chombo hicho chenye dhamana ya kutoa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu wenye uhitaji wa mikopo kwa ajili ya kukidhi mahitaji yao ya chakula, malazi na ada, ikiwataka kuanza mara moja kurejesha mkopo huo na kwa wale ambao bado hawajawasiliana na bodi kwa ajili basi wafanya hivyo ndani ya ssiku 30 zilizoongezwa.
Soma taarifa yote hapa ...
No comments