Matokeo ya usaili wa mchujo uliofanyika tarehe 25/05/2016 katika ofisi za baraza la mitihani la tanzania
MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO ULIOFANYIKA TAREHE 25/05/2016 KATIKA
OFISI ZA BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA - MBEZI JUU
KWA KUZINGATIA MATOKEO HAYO WANAOSTAHILI KUHUDHURIA USAILI WA
KUJIELEZA UTAKAOFANYIKA TAREHE 26/05/2016 KATIKA OFISI ZA BARAZA LA
MITIHANI MKABALA NA TBC KUANZIA SAA 1.30 ASUBUHI NI WAFUATAO:
- KADA YA EXAMINATIONS OFFICER II - CHEMISTRY – WASAILIWA WALIOSHIKA NAFASI YA 1 – 6
- KADA YA EXAMINATIONS OFFICER II - BIOLOGY – WASAILIWA WALIOSHIKA NAFASI YA 1 – 6
- KADA YA OFFICE ASSISTANT II – WASAILIWA WALIOSHIKA NAFASI YA 1 – 4
WASAILIWA WOTE WANATAKIWA KUFIKA NA VYETI HALISI (ORIGINAL
CERTIFICATES) KUANZIA KIDATO CHA NNE, SITA, STASHAHADA,
STASHAHADA YA JUU, SHAHADA NA KUENDELEA KUTEGEMEANA NA SIFA ZA
MUOMBAJI.
No comments