Habari mpya

Naamka tena concert. Tickets at OMGift Shop (Dar free market) na Shear Illusion(Mlimani City), Jackies Bar-Masaki na Samaki Samaki



Zimebaki siku sita tu kukinukisha pale Milimani City. Unasubiri nini kujipatia tiketi yako tarehe 20 Mei 2016, Naamka Tena Concert. Tiketi zimeanza kupatikana OMGift Shop - Dar Free Market, Shear Illusion - Mlimani City, Jackies Bar-Masaki na Samaki Samaki.
Kwa Wakazi wa Dar Es Salaam. 

Dodoma kaeni tayari tunakuja
Powered by EFm & East Africa TV/Radio

No comments