Habari mpya

MANCHESTER UNITED BEKI WENU ANARUDI


Jumatatu ya tarehe 4/4/2016 beki wa Manchester United alianza mazoezi mepesi.
Beki huyo aliumia mwezi septemba mwaka 2015 wakati wa mechi za makundi ya ligi ya Mabingwa dhidi ya PSV EINDHOVEN ya Uholanzi ameanza rasmi mazoezi mepesi ya kurejea uwanjani.
Ni habari njema kwa Mashabiki wa Manchester United kwani beki huyo mwenye miaka 20 ni tegemezi na ni  bora kwa kizazi hiki na kijacho cha mashetani wekundu hao.

No comments