Habari mpya

WASHINDI WA TUZO ZA WATU 2015 HHAWA HAPA, FULL LIST


Majina ya washindi wa tuzo za watu 2015:

Mtangazaji wa redio anayependwa
D’Jaro Arungu – TBC FM




Kipindi cha redio kinachopendwa
Papaso – TBC FM




Mtangazaji wa runinga anayependwa
Salim Kikeke – BBC Swahili


Kipindi cha runinga kinachopendwa
Mkasi – EATV


Blog/Website inayopendwa
Millardayo.com


Muongozaji wa video anayependwa
Hanscana


Muongozaji wa filamu anayependwa
Vincent ‘Ray’ Kigosi


Muigizaji wa kike wa filamu anayependwa
Wema Sepetu


Muigizaji wa kiume wa filamu anayependwa
Hemedy PHD


Mwanamuziki wa kike anayependwa TZ
Lady Jaydee


Mwanamuziki wa kiume anayependwa
Alikiba




Filamu inayopendwa
Kigodoro


Video ya muziki inayopendwa
Nani kama Mama – Christian Bella f/ Ommy Dimpoz

No comments