Nani Kama Baba Bwana? Inasemekana Baada ya Kunyang'anywa Taji la Miss Tanzania na Makorokoro yote, Baba Mzazi wa Aliyekuwa Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu Amnunulia Mwanae Gari la Kitajiri lenye special Plate Numbers za Jina Lake.
BAADA YA KUNYANG'ANYA U-MISS TZ 2014, SITTI MTEMVU SASA AONYESHA JEURI YA PESA KWA KUMILIKI GARI LA KIFAHARI
Reviewed by Unknown
on
1:10 PM
Rating: 5
No comments