BEN POL KUJA NA REMIX YA SOPHIA KUTOKA CONGA MUSIC
Kupitia akaunti yake ya facebook Producer Triss Emmanuel ameweka wazi kwamba Sophia Remi ipo njiani muda wowote itakuwa masikioni kwa wapenzi wa mziki wa Bongofleva.
Hichi ndicho alichokipost Producer huyo asubuhi ya leo kuhusiana na mdundo huo.
"GOOG MORNING kutoka CONGA MUSIC kaa tayari kwa remix ya sophia kutoka
kwa ben pol kwa wale wapenzi wa club nini you will be suprised. get
ready for sophia remix from ben pol it will blow your mind.."
No comments