WORLD TRADE CENTER YAFUNGULIWA TENA BAADA YA UJENZI WA ZAIDI YA MIAKA NANE TANGU KULIPULIWA NA OSAMA BIN LADEN KATIKA TUKIO LA UGAIDI SEPTEMBA 11, 2001
Miaka kumi na tatu baada ya tukio la kigaidi la tarehe 9/11 WORD TRADE CENTER yafunguliwa tayari kwa kufanya biashara.
Hadi sasa ni kiasi cha makampuni 170 yameanza kazi kukiwa na wafanyakazi 3,400 wameshaingia na kufikia mapema mwakani inategemewa wafanyakazi zaidi watakuwa wameingia kufanya kazi katika jengo hilo.
Ujenzi huo umegmarimu mabilioni ya pesa kama dola za kimarekani bilioni 3.9 ($3.9bn/(£2.4bn)
Tukio hilo la ugaidi likiongozwa na kiongozi Osama Bin Laden liligharimu maisha ya watu zaidi ya 2,700 waliofukiwa na vifusi na moshi mkubwa.
No comments