Habari mpya

AMBER ROSE BAADA YA KUACHANA NA WIZ KHALIFA SASA NA KAKA WA FRENCH MONTANA, ZACK

Amber Rose Dating French Montana Brother

Ukaribu wa Amber Rose na French Montana umeleta maswali mengi kwa mashabiki wa Msanii huyo lakini ukweli mzima umewekwa wazi na mtandao wa TMZ na kudai kuwa Amber hatuki na msanii huyo ila ni kaka wa msanii huyo ambaye mda wote wamekuwa wakitoka pamoja kama kaka na mdogo mtu aitwaye Zack.
Amber Rose na Wizi Khalifa waliachana yapata miezi zaidi ya miwili baada ya kile kinachodaiwa ni kusalitiana kwa wawili hao.

No comments