REAL MADRID MABINGWA UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2014 KWA USHINDI WA REAL MADRID 4- 1 ATLÈTICO MADRID
Hii ni baadhi ya picha za mwanzo hadi mwisho wa mchezo huu uliotazamwa na mamilioni ya watu dunia nzima. Atletico Madrid walianza kwa kushindo kikubwa kwa kuwapa pigo moja Real Madrid na kuwawanya wachanganyikiwe kabisa uwanjani hapo. Lakini AM wakashindwa kuzitumia nafasi nyingi walizopata na kuwafanya RM kuamka kutoka usingizini na kuwapa kipigo cha mbwa mwizi AM na kuibuka kifua mbele kwa bao 4 kwa 1 na kuwafanya kuwa washindi wa ligi hiyo kubwa zaidi duniani mwaka 2014
No comments