NA HII INAKUHUSU KATIKA KILI MUSIC AWARDS: JINSI YA KUWAPIGIA KURA MASHUJAA BAND KWENYE TUZO ZA KILI MSIMU WA 2013/2014
Ukiwa kama mdau mkubwa wa MASHUJAA BAND waweza wapigia kura kwa SMS, e-mail na moja kwa moja kwa website ya KILITIME.
Kwa njia ya SMS;
- Tuma neno BW6 kwenda 15440
- Tuma neno AC1 kwenda 15440
- Tuma neno AY3 kwenda 15440
- Tuma neno BE3 kwenda 15440
- Tuma neno BR3 kwenda 15440
Pia waweza kuwapigia kura online upya kwa kubofya hii link KILITIME au kupitia http://www.kilitime.co.tz/ktma/vote
Na njia ya mwisho ni ile ya kutuma email kwenda ktma@auditaxinternational.com
Kwa kufanya hivyo utakuwa umewasupport MASHUJAA BAND kwa kiasi kikubwa! AHSANTE KWA KURA YAKO.
No comments