MATOKEO YA MECHI YA BUYERN MUNICH Vs MANCHESTER UNITED, UEFA CHAMPIONS LIGUE
Matokeo ya mechi ya leo tarehe 09 April 2014 yamekuwa si mazuri kwa Manchester United kwa kushindwa kutamba mbele ya Buyern Munich katika UEFA kwa kufungwa goli 3 kwa 1 kitu ambacho kinazidi kumpa wakati mgumu kocha Moyes.
No comments