MAJINA YA WANAFUNZI AMBAO HAWAJACHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VIKUU MWAKA WA MASOMO 2013/2014
Call for Second Round to Applicants who have Not been Selected during First round Application
Wanafunzi hao walio omba kujiunga na masomo ya chuo mwaka wa masomo 2013/2014 wanatakiwa kuomba tena vyuo kupitia mfumo walio utumia mara ya kwanza kwa mtandao CAS TCU .
Kukosa kwao nafasi za kujiunga na chuo zimesababishwa na sababu mbalimbali zikiwemo
- Kukosa sifa za kujiunga katika kozi husika
- Ushindani mkubwa uliopo katika kozi husika
- Kushindwa kutuma maombi katika fani mbalimbali
Vipi kuhusu majina ya wanafunzi waliopata mkopo kwa mwaka 2013/2014
ReplyDelete