Habari mpya

TATIZO LA KUSOMA KOZI USIYOIPENDA

Ndugu masomaji wa hii blog nimeona nianze na mjadala wa vijana wengi kusoma kozi ambazo hawazipendi ilimradi aonekane amemaliza chuo,yaani DEGREE au MASTERS. Unaruhusiwa kuchangia katika mjadala huu. KARIBU SANA!

No comments