Habari mpya

BENKI YA AKIBA WAZINDUA WARIDI AKAUNTI KWA WANAWAKE WAJASIRIAMALI

 

Meneja Mwandamizi wa huduma za kidijitali kwa Benki ya Akiba Bi. Magreth Mwasumbi akizungumza na waandishi wa habari katika uzinduzi wa Akaunti maalumu wa kwa ajili ya Wanawake inayoitwa "WARIDI  AKAUNTI " .Kulia wake Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Akiba Dora Saria.Uzinduzi huu unaambatana na maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani katika hafla ndogo zilizofanyika katika ofisi za makao makuu ya benki Jijini Dar es salaam. 



Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Akiba Dora Saria akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa uzinduzi wa Akaunti maalumu wa kwa ajili ya Wanawake inayoitwa "WARIDI  AKAUNTI ".Uzinduzi huu umeambatana na maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani katika hafla ndogo zilizofanyika katika ofisi za makao makuu ya benki Jijini Dar es salaam.




Picha ya Pamoja mara baada ya uzinduzi wa Huduma mpya ya AKAUNTI YA WARIDI  ya wafanyazi wanawake wa Akiba Commercial Bank Plc katika maadhimisho ya Siku ya wanawake duniani yaliyofanyika leo Machi 08, 2023 katika ofisi za makao makuu  jijini Dar es Salaam.


Picha mbalimbali  za matukio ya wafanyazi wanawake wa Akiba Commercial Bank Plc katika maadhimisho ya Siku ya wanawake duniani yaliyofanyika leo Machi 08, 2023 katika ofisi za makao makuu  jijini Dar es Salaam.



Picha mbalimbali  za matukio ya wafanyazi wanawake wa Akiba Commercial Bank Plc katika maadhimisho ya Siku ya wanawake duniani yaliyofanyika leo Machi 08, 2023 katika ofisi za makao makuu  jijini Dar es Salaam.




No comments