TAMASHA LA TIGO FIESTA LAPOKELEWA KWA SHANGWE MKOANI DODOMA IJUMAA HII
Baadhi ya wabunge wabunge la Tanzania wakiwa wanacheza muziki na msanii Ben Pol kwenyeTamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Jamhuri Dodoma usiku wa kuamkia jana.
|
Belle9 akiwapagawisha maelfu ya mashabiki wa muziki waliojitokeza katika viwanja vya jamhuri katika tamasha la Tigo Fiesta |
Jux na Benpol wakiimba wimbo wa pamoja wa NAKUCHANA katika jukwaa la Tigo Fiesta katika viwanja vya Jamhuri mwishoni wa wiki hii. |
Wasanii Bushoke na Maua Sama wakifanya shoo
ya pamoja kwenye tamasha la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia jana uwanja wa Jamhuri Dodoma
|
Christian Bella akitumbuiza mashabiki wa burudani waliohudhuria Tamasha la Tigo Fiesta mapema mwishoni wa wiki hii mkoani Dodoma. |
Maua Sama na Nandi wakiimba kwa pamoja katika jukwaa la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia jana katika viwanja vya Jamuhuri Mkoani Dodoma |
Vanessa na Mcheza shoo wake wakiburudisha maelfu ya wakazi w.a Dodoma waliofika viwanja vya Jamhuri kwenye Tamasha la Tigo Fiesta |
Wabunge wakilisakata Rhumba wakiongozwa na Msanii Benpol |
Joh Makini na Niki wa Pilli toka Weusi wakilivamia jukwaa la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia jana katika Tamasha la Tigo Fiesta |
No comments