Habari mpya

Kishindo cha Msimu wa Tigo Fiesta chaacha Gumzo mkoani Morogor

Wasanii Vanessa Mdee  na  Juma Jux  wakiimba   pamoja   kwenye   tamasha la Tigo fiesta lililofanyika uwanja  wa  Jamhuri   mjini  Morogoro   usiku wa jana

Chege akiburudisha maelfu ya mashabiki na wapenzi wa muziki mkoani morogoro katika Jukwaa la Tigo Fiesta usiku wa jana Mkoani Morogoro

FID Q akitoa michano hatari katika jukwaa la Tigo Fiesta usiku wa jana katika viwanja vya Jamhuri  mkoani Morogoro.

Mkali wa Dansi Christian Bella akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta katika viwanja vya Jamhuri Mkoani Morogoro usiku wa jana.

Msanii  Manfongo  akiwasha moto kwenyetamasha la Tigo fiesta lililofanyika uwanja  wa Jamhuri  mjini Morogoro.

Mr Blue katika ubora wake akitumbuiza maelfu ya wakazi wa Morogoro katika uwanja wa Jamhuri

Mkali wa Singeli akitoa burudani kwa mashabiki wake na wapenzi wa burudani walijitokeza katika uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro

Mh. Temba akiwapagawisha wakazi na mashabiki wa mziki toka Morogoro katika jukwaa la Tigo Fiesta usiku wa jana

Vanessa akiwa na wacheza shoo wake katika kulivamia jukwaa la Tigo Fiesta usiku wa jana katika viwanja vya Jamhuri Mkoani 

No comments