Habari mpya

Diamond Platinumz ft P Square - Kidogo (Official Video)

Kama wewe ni mpenzi wa mziki mtamu kutoka Afrika basi huwezi kuchelewa kuiona video hii. Kwa hapa nadhani ni mwendo wa tuzo tu zinangojea kumiminika.
Basi ruka kidogoooooo.....

No comments