Uzinduzi wa msimu mpya wa Maisha Plus East Africa 2016 wafana
Wasanii Vitali Maembe na Jhikoman wakitoa burudani katika uzinduzi huo.
|
Mwanahabari na bloger John Bukuku akihojiwa na mtangazaji wa Azam Tv Benerick ambaye pia alikuwa ni mmoja wa washiriki wa msimu uliopita wa maisha plus. |
Waanzilishi wa kipindi cha Maisha plus Kaka Bonda na David Sevuri wakifurahia jambo wakati wa ufunguzi rasmi wa kipindi cha maisha plus mapema jana usiku katika viwanja vya studio za Azam Tv |
Mmoja wa washiriki wa msimu uliopita wa vipindi vya maisha plus akihojiwa na mtangazaji wa Azam wakati wa ufunguzi wa msimu mpya wa Maisha plus East Afrika 2016 yenye kauli mbiu ya #HAPA KAZI TU |
Baadhi ya wafanyakazi wa Azam Media wakishuhudia ufunguzi rasmi wa msimu mpya wa Maisha plus East Afrika 2016 yenye kauli mbiu ya #HAPA KAZI TU |
Wawakilishi kutoka bodi ya filamu Tanzania wakifuatilia kwa makini uzinduzi wa Maisha Plus East Africa 2016 uliofanyika jana katika viwanja vya studio za Azam Tv |
Aliyekuwa mshindi wa kwanza wa Maisha Plus Abdul akizungumza katika uzinduzi huo. |
Baadhi ya wageni waalikwa waliofika jana katika uzinduzi wa maisha plus wakifuatilia kwa makini |
No comments