Habari mpya

Mh. Esther Michael Mmari kufikisha kero za wanafunzi wa NIT bungeni

Wakimsikiliza kwa makini Mh. Esther Mmari



Mh. Esther Michael Mmasi amefanya kikao na viongozi wa serikali ya wanafunzi wa Chuo Cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Bungeni Dodoma. Jambo kubwa lilikuwa ni kupata kero na changamoto zinazowakumba wanafunzi wa Chuo hicho zinazohitaji kusemewa ndani ya Bunge na kupatiwa ufumbuzi wa haraka.
(Pictures fromFacebook account Esther mmasi)

No comments