DJ Baddo ft Skales – Finally
Msanii mwenye tuzo za kutosha Dj popularly maarufu kama Dj Baddo ameachia video yake mpya aliyoipa jina la ‘FINALLY‘ ambayo amempa shavu msanii Skales. Dj Baddo alijipatia umaarufu mkubwa sana kutokana na kazi yake aliyokuwa akiifanya mwanzo ya kuchanganya nyimbo mtaani, kazi ambayo amekuwa akiifanya tangu miaka ya 1999. Video hii mpya imefanywa na kampuni ya 02Media katika bichi za Elegushi, Lagos.
No comments