Watu wawili wafa maji baada ya gari yao kutumbukia baharini
Jeshi la Zimamoto linaendelea kuutafuta mwili wa mwanamke mmoja aliyekuwa ndani ya gari aina ya Hiace ambalo limetumbukia bahari ya Hindi leo alfajiri majira ya saa 10 mara baada ya kuteleza kutoka kwenye kivuko kilichokuwa kinaelekea upande wa Kigamboni. Hadi sasa wameweza kuupata mwili dereva wa gari hilo anayekadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka 29-30.
No comments