Habari mpya

Wako wapi hawa katika mziki wa Bongo?

Muziki wenye ladha ya Kitanzania almaarufu BONGO FLAVOUR ulikuwa umeshamiri sana na kujizolea mashabiki wengi wa rika zote hapa nchini Tanzania.
Muziki huu ulikuwa unachagizwa zaidi na makundi mbalimbali yalokuwa yakijipambanua zaidi kijiografia ya maeneo yao.
 
MFANO WA MAKUNDI YA MUZIKI WA BONGO FLAVOUR NI KAMA HAYA
  1. TMK a.k.a Wanaumeee 
  2. EAST COAST TEAM 
  3. HARD BLASTERS CREW 
  4. GANSTERS WITH MATATIZO(GWM)
  5. WATU PORI
  6. USWAHILINI MATOLA
  7. WAGOSI WA KAYA
  8. DAR STAMINA
Kwa kuorodhesha machache tu!

MAKUNDI HAYA YALISAIDIA SANA KUKUZA,KUDUMISHA NA KUENDELEZA MUZIKI WA BONGO FLAVOUR HAPA NCHINI TANZANIA MAKUNDI HAYA LEO YAKO WAPI?
MBONA HAYASIKIKI TENA?

No comments