Habari mpya

LEICESTER CITY HAWASHIKIKI,WANAISHI NDOTO ZAO. MAN UNITED NAO KICHEKO

Viongozi wa ligi kuu ya Uingereza LEICESTER CITY jana waliongeza wigo wa tofauti za alama mpaka kufikia 7 kati yake na timu inayoshika nafasi ya pili Totenham.
Leicester city wana alama 69 wakati Toten ham wana alama 62 ikiwa kila moja imebakiza michezo 6 tu.Leicester City walipata ushindi katika uwanja wao wa King Power kwa goli lao pekee liliofungwa na kapteni wao WES MORGAN katika dakika ya 38 kuunganisha krosi ya winga  wa kushoto CHRISTIAN FUCHS. 
Katika mechi nyingine iliyochezwa jana Manchester United waliifunga Everton ka goli moja la ANTHONY MARTIAL dakika ya 54 akiunganisha mpira uliopigwa na beki kinda FOSU MENSAH  nafasi ya MARCOS 
Picha kwa hisani ya www.dailymail.co.uk

HUU HAPA MSIMAMO WA LIGI KUU UINGEREZA



















No comments