#Habari:Tazama VIDEO ikionesha namna ambavyo Rais Dk.John Pombe Magufuli alivyo fanya ziara ya kushtukiza kwa kutembelea kwa miguu kutoka ikulu hadi wizara ya fedha na kuingia ofisi moja baada ya nyingine na kukuta watumishi wa wizara hiyo kwa asilimia kubwa wakiwa hawapo ofisini.
Posted by ITV Tanzania on Friday, November 6, 2015
Tazama VIDEO ikionesha namna ambavyo Rais Dk.John Pombe Magufuli alivyo fanya ziara ya kushtukiza kwa kutembelea kwa miguu kutoka ikulu hadi wizara ya fedha na kuingia ofisi moja baada ya nyingine na kukuta watumishi wa wizara hiyo kwa asilimia kubwa wakiwa hawapo ofisini
No comments