Habari mpya

WASAFI RECORDS INAYOMILIKIWA NA DIAMOND PLATNUMZ YAANZA RASMI KUFANYA KAZI, KUREKODI NI BURE KWA WASANII WACHANGA

 
Jana usiku nlitembelea Wasafi Records kuikagua na kuthibitisha kama kweli vijana washaanza kecordiwa nikakuta Nyimbo zaidi ya Nane zimesharecordiwa... ikabidi nami kwa Mara ya Kwanza nijaribu kutia Barka zangu... Studio Iko Sinza Mori kama unaamini kweli unakipaji, fika sasa Utarikodiwa Bure kabisa!!!

No comments