Ray Kigosi maarufu kama Ray atoa msimamo wake juu ya nani anafaa kuwa raisi ajaye wa Tanzania
Baada ya baadhi ya wasanii wa Bongo Fleva na Bongo Movie kuonesha
msimamo wao katika kuwaunga mkono wagombea flani wa Urais. Msanii
mwenzao Ray Kigosi ameonesha msimamo wake na kwa maneno haya.
"Usiku wa jana nimetafakari vi2 vingi sana kuhusu Nchi yangu
iliyobarikiwa kila aina ya utajiri wa madini mbuga za wanyama wakiwemo
aina mbalimbali za wanyama wa kuvutia na hekta kubwa za misitu Ila
ninaona vipofu wengi sana wasiolewa nini 2lichobarikiwa ndani ya
Tanzania ye2. 2meingizwa mikenge mingi sana katika mikataba tena mibovu
bajeti kandamizi Kwa wa2 wa hali ya chini mifumuko ya bei kila kukicha
hali ngumu kwa wasanii wa Tanzania kila siku ahadi zisizotekelekeza why
nasema hivyo wasanii wenzangu? 2meumia kwa kipindi kirefu sana bila
msaada wowote ha2na haki miliki wa kazi ze2, zinaibiwa kama njugu sokoni
kariakoo yani 2li2pwa kama taka taka kwenye dampo lakini sasa hivi
kipindi cha uchaguzi ndio 2naonekana umuhimu we2 tuamke kuwaambia
wananchi wachague viongozi makini watakaoweza ku2vusha Watanzania kwenda
ha2a nyingine.
Tuna wa2 wengi sana nyuma ye2 wanaotuamini sisi wasanii kama kioo cha jamii tusiwapoteze Watanzania kuwaambia Viongozi wa chama flani ndio wanafaa kwa vijisenti vidogo 2navyopewa. Watanzania huu ni wakati sahihi waku2lia na kuwachagua viongozi makini wanaofaa Ni katika kukumbushana 2 waswahili wanasemaje utakaokatanao kuni ndio utakaota nao moto.”

No comments