Msanii Eddy Kenzo kutoka Uganda azidi kuchana mawimbi, apata dili kubwa huko South Africa
Staa wa muziki wa nchini Uganda, Eddy Kenzo ameendelea kupata mashavu
kupitia rekodi yake ya “Sitya Loss” kimataifa, baada ya watayarishaji wa
filamu kubwa huko Afrika Kusini kuwasiliana naye wakitaka kutumia
rekodi hiyo katika filamu yao.

No comments