Habari mpya

Mambo 10 usiyo yajua Kuhusu Pul Kagame na serikali yake Rwanda

  1. Kila Mwanafunzi anaye fika kidato cha kwanza anapewa Laptop 
  2. Barabara zote hupigwa deki kila mwisho wa week na wanajeshi 
  3. Msafara wa Rais hauzidi Magari ma Tatu 
  4. Ukigundulika umetoa au umepokea rushwa unatiwa ndani kwenye Mahakama Maalumu ya Rushwa Uchunguzi unafanyika ukiwa Ndani hilo halina Waziri au katibu mkuu au mfagizi
  5.  Kila alhamisi ya Mwisho wa Mwezi Rais husimamaia kufanya usafi Nchi Nzima na Rais huonyeshwa Live akifanya Usafi .Hii ni sheria shughuri zote maduka yote hufungwa kwa zoezi la usafi hata Kama ni mgeni mpaka saa NNE 
  6. Pul Kagame amethubutu na ameweza kuzifuta Nyumba za Nyasi Nchi Nzima hamna nyumba za nyasi 
  7. 90% ya watu wake woote wana huduma ya umeme majumbani mwao 
  8. 90% ya barabara zake zooote zimejengwa kwa kiwango cha Rami Madhubuti 
  9. 90% ya budget yake inajitegemea yenyewe bila kutegemea wahisani na ni mapato ya makusanyo ya ndani..Hana simile katika kodi hicho ndicho kwanza , mwekezaji ukitaka uondolewe nchini Siku hiyo hiyo kwepa kulipa kodi 
  10. Waziri wake woote wana ripoti kwa Raisi kila mwiso wa mwezi kueleza na kuonyesha usimamiaji wa shughuli walizo pewa na serikali

Source: Fred Kihwele

No comments