MANENO MACHACHE YA MUIGIZAJI LULU YENYE UJUMBE MZITO KWA WEMA SEPETU BAADA YA KUSHINDWA KWENYE KURA ZA MAONI
Baada ya matokeo ya Ubunge viti maalamu Singida kutoka na Wema Kupigwa chini, Lulu Michael amemtia moyo Wema Sepetu kwa Kuandika ujumbe huu;
Kuna matokeo ya aina 3
>>Kushinda
>>Kushindwa
>>Kudroo.
Mpka hapa ulipofika Leo umethubutu kitu ambacho wanawake wengi ni waoga kujaribu wewe ni mshindi Dada yawezeka Kuna kingine zaidi Mungu amekuandalia

Post Comment
No comments