Habari mpya

HAPPY BIRTHDAY MWANALIBENEKE KRANTZ MWANTEPELE (MWANAHARAKATI ZALENDO MEDIA)




Leo tarehe 19 July ni siku ya kuzaliwa Mwanalibeneke la blogu  Krantz Mwantepele ambaye ni Mkurungezi Mtendaji wa MWANAHARAKATI MZALENDO MEDIA pia Mkurungezi Mtendaji wa KAJO ITECH kwa  niaba ya wasomaji  wetu tunapenda kukutakutakia maisha marefu na yenye baraka na fanaka tele.


Mungu akupe maisha marefu na kukupa mwongozo sahihi kwa ndoto zako za kuweza kutengeneza ajira kwa vijana wenye nia na ari ya kujiajiri .

Mnaweza kutembelea blog zinazomilikiwa na Mwanaharakati Mzalendo Media 

Mwanaharakati Mzalendo Blog link www.mwanaharakatimzalendo.blogspot.com


Mzalendo Times link www.mzalendotimes.blogspot.com


Na hivi karibuni kutazinduliwa MZALENDO ONLINE TV

Pia unaweza kumfuata Krantz katika mitandao ya kijamii kama
 Facebook kwa jina la Mwanaharakati mzalendo  https://www.facebook.com/MWANTEPELE

Instagram/ twitter  @mzalendo89


 "   HAPPY BIRTHDAY KRANTZ "


No comments