Habari mpya

HABARI NJEMA KWA WATEJA WA ZUKU

Tunapenda kuwajulisha wateja wetu kuwa Star TV Tanzania sasa inapatikana katika ZUKU chaneli namba 36. Furahia vipindi uvipendavyo kama 'BBC Dira Ya Dunia' kila ifikapo saa tatu usiku.
Kama bado hujaipata chaneli hiyo unaweza kusoma maelekezo ya jinsi ya ku'scan king'amuzi chako kupitia http://bit.ly/1Fu4gOX
Asante kwa kuchagua Zuku.

No comments