RAISI WA BURUNDI PIERRE NKURUNZINZA AENDELEA NA MICHEZO HUKU RAIA WAKE WAKIENDELEA KUANDAMANA

Kupitia ukurasa wa facebook wa kituo cha redio cha kimataifa BBC wameposti picha ikimuonyesha Raisi wa Burundi akiwa na marafiki zake wakicheza mpira huku hali ya sintofahamu juu ya suala na maamuzi yake ya kudai kugombea tena uraisi katika nchi hiyo. Hadi sasa hali ya usalama si shwari katika nchi jirani ya Burundi kwa kumeendelea kuwa na mapigano na maandamano ya hapa na pale kuhusiana na kile kinachoonekana ni kutoridhia uamuzi wa raisi huyo kuendelea kushikilia madaraka ya juu kabisa katika nchi hiyo.

No comments