MAJINA YA WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDATO CHA SITA AMBAO WAMECHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA MWAKA 2015
Kama ilivyo ada nchini kwa wahitimu wote kidato cha sita wanatakiwa kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa
(JKT) kwa mujibu wa sheria ili kupata mafunzo ya kijeshi.
Leo hii Jeshi la Kujenga Tifa limetangaza na kutoa majina ya wahitimu wote wa kidato cha sita mwaka huu 2015 ambao watatakiwa kuanza kuripoti katika kambi husika za Mafunzo ya kijeshi (JKT), kuanzia mwezi Juni 08 2015 na mafunzo yataanza rasmi Juni 15 2015.Mafunzo hayo yatachukua muda wa miezi 3 hadi hapo mwezi Septemba 15 2015.
Bofya linka hapa chini uweze kusoma majina ya wanafunzi hao na kambi walizopangiwa.
Vikosi Walivyopangiwa Vijana kwa mujibu wa Sheria 2015
Tafadhali bonyeza jina la kikosi kutafuta jina lako
BULOMBORA -KIGOMA | RWAMKOMA - MUSOMA | KANEMBWA |
MSANGE - TABORA | MAKUTOPORA - DODOMA | RUVU - PWANI |
MGAMBO - TANGA | MARAMBA - TANGA | MLALE - SONGEA |
MAFINGA - IRINGA | MTABILA - KIGOMA |
TAHADHARI:Unapojaribu kufungua na kushindwa kuyaona majina ya Wanafunzi hao ni kutokana mtandao wa jkt,com kuelemewa na watumiaji (SERVER LIMIT CAPACITY) .Watu wanaotembelea mtandao huo kwa muda huo ni wengi sana unashauriwa kusubiri muda kidogo na kuingia tena.
No comments