Habari mpya

DAVIDO (22) ANUNUA MJENGO WA KIFAHARI NCHINI MAREKANI, PIA KUACHIA ALBAMU YAKE YA PILI "THE BADDEST" MWEZI UJAO

Taarifa hii inakuja baada ya Davido miezi kadhaa iliyopita kudai kuwa anatafuta mjengo wa kuishi huko Marekani. Chanzo kimoja kinadai kuwa Davido alizungumzia suala la uhitaji wa nyumba mwezi Machi.
 
Msanii huyo anayekimbiza katika miondoko ya Pop kutoka Nigeria mwenye umri mdogo (22) lakini pesa nyingi ameonesha jeuri hiyo ya kumiliki mjengo huo kwa baadhi ya picha alizozitupia mtandandaoni hivi karibuni.
    Â 

Hizo ni baadhi ya picha zinazoonyesha mjengo huo.
Akon and Davido, who has completed his third international collaboration in the last three weeksKwa sasa Davido na Kaka yake Adewale Adeleke ambaye ndiye anamsimamia sana Davido katika mziki chini ya lebo yao ya HKN wamekuwa U.S.A kwa muda mrefu ambapo pia msanii huyo amekuwa akionekana na wasanii wakubwa duniani kama AKON ambaye inasemekana wana wimbo wa pamoja "Lie to you", alisema Akon kupitia mtandao wa twita, lakini chanzo cha karibu kinasemekana hiyo yote ni kutokana na maandalizi ya albamu ya pili "The baddest" inayotarajiwa kutoka mwezi June 2015

No comments